Naomba mnieleweshe kwa wanaosoma na waliosoma CLINICAL MEDICINE(CO) na MD

Naomba mnieleweshe kwa wanaosoma na waliosoma CLINICAL MEDICINE(CO) na MD

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
Mimi nilipata div 4 point 26 o-level masomo ya sayansi nilipata hivi

Phy-d
Chem-c
Bios-c

Nikaambiwa kwa matokeo yako hayo unaweza soma diploma ya co.

Je, nauliza hivi nikifaulu vizuri hiyo diploma naweza kukubaliwa kusoma digrii ya MD kwa matokeo hayo ya form 4 ingawa diploma nina matokeo mazuri msaada jamani
 
MD utasoma vyuo vya private ila kwa serekali haitawezekana
 
Hata vya serikali unaweza kupata, muhimu ni ufaulu mzuri kuwa miongoni mwa hao wanaohitaji, pia inategemea na nafasi zilizopo ktk chuo husika
 
Mkuu iko hivi kama imemaliza form four unatakiwa uanze na certificate baadae Diploma. baada ya Diploma kama utafaulu utaruhusiwa kuendelea na degree iwapo tu matokeo yako ya form four ulikuwa. na Pass (D) 4 na kuendelea
N:B kama ufaulu wako ni chini D 4 usihangaike hata kusoma certificate
 
ucjali ukienda vyuo vya private waweza soma diploma ya nursing na co ila nw kuna competition sana anza na certificate utafika kijana.
 
Njoo muhas upate diploma yoyote ya afya!kama g.p.a yako itasoma kuanzia 3.5 md kama kawaida!hakuna kischowezekana tz hii
 
Njoo muhas upate diploma yoyote ya afya!kama g.p.a yako itasoma kuanzia 3.5 md kama kawaida!hakuna kischowezekana tz hii

Poa mkuu asante kwa kunielewesha vp naweza kuchaguliwa hapo muhas kusoma diploma!
 
Back
Top Bottom