unapoenda ngende kupata unachotaka kwa njia ya maajabu,kama ilivyo makete(wakinga wanajua),nikuwa:
unaulizwa unachotaka,na unasema,labda kuwa tajiri,kupata nafasi kubwa(madaraka)mahalinkama kazini kwenye mambo ya kijamii na kadhali.
unapewa mashari ya mambo ya kufanya ukiwa pale NGENDE(LIWALE),ukishakamilisha unaambiwa useme utaleta sadaka gani ngende ambayo ni maramoja kwa mwaka na hawakupangii kiasi,ila ni lazima uitekeleze.
usipotekeleza wanajukumbusha kw matukio,mfano wanamuua mwanao kipenzi,au nyumba yako ya masaki inayokupa ela nyingi ndo inaungua.
mimi nichagua kupeleka shilingi moja kwa mwaka,basi natumia zaidi ya milioni na muda mwingi maramoja kwa mwaka kukamilisha hilo