Naomba mnifahamishe

Naomba mnifahamishe

Joined
Jun 10, 2013
Posts
11
Reaction score
0
wakuu mliotutangulia naomba mnifahamishe napaswa kuandaa sh. ngapi ili kuanza form 5 kwa makadrio ya gharama zote make mda ni kidogo mno. nitashukuru
 
Uwe na kama laki 3 maana mwaka jana nimempeleka dogo pale Bwiru imenicost laki 2.5.
 
Back
Top Bottom