Duuh clutch tena mkuu au ulimaanisha accelerator, na hata hivyo bado hatakiwi kutumia miguu miwili kwenye auto mguu ni mmoja tu, anakuwa anaswitch kwenye acc na brake hayo mambo ya miguu miwili ni kwenye manualHatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye clach mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na clach
Kwa mwanafunzi ana shauriwa kutumia miguu miwili akizoea ndio atumie mmojaDuuh clutch tena mkuu au ulimaanisha accelerator, na hata hivyo bado hatakiwi kutumia miguu miwili kwenye auto mguu ni mmoja tu, anakuwa anaswitch kwenye acc na brake hayo mambo ya miguu miwili ni kwenye manual
Dah,kwenye foleni itakuaje sasaWeka gia kwenye R washa chuma
Huyo ni mtufudenge 😂Clach kwenye IST mkuu..
Unamchanganya mwanafunzi
Mkuu,ist ina clutch?Hatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye clach mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na clach
Aende kinyumenyume sio?Weka gia kwenye R washa chuma
Baada ya kuendesha jambo litakua hiviMko poa humu?
Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu, atakaa almost miezi sita huko, sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu, kaniachia na ufunguo, kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if possible.
Sasa mimi sijawahi kumiliki gari hivyo sijui hata kuendesha.hivyo naomba msaada mnipe darasa nijifundishe mwenyewe kupiga gia ili na mimi niwaoshee majirani wajue ni yangu.
NimekoseaMkuu,ist ina clutch?
Kwa mwanafunzi hii ni ajali kabisaHatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye accelerator mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na accelerator
Hii picha ya Lucas Mwashambwa umeitoa wapi?Endelea na usafiri wako.....
View attachment 3414022
Hahaha we jamaa gari yake haina hii miguu yote ujueHatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye accelerator mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na accelerator
Duuh nina mashaka kama umeshawahi hata kuendesha gari kabisaKwa mwanafunzi ana shauriwa kutumia miguu miwili akizoea ndio atumie mmoja
Sawa ila mm wakati najifunza nilikuwa natumia miguu miliwi up nimewezaDuuh nina mashaka kama umeshawahi hata kuendesha gari kabisa
Toa pesa upate leseni kijanaSikuhizi ili upate kibali cha kuendesha gari, (driving license), lazima ukasome kwenye chuo kinacho tambulika na serikali, hakuna njia ya mkato