Naomba mnifundishe kuendesha gari aina ya IST

Upo mkoa gani na wilaya gani?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza hiyo siyo gari ya kujifunzia bora hata ingekuwa yako, pili nenda driving school kama wiki tu kwa mwanaume biashara imekuwa imeisha. Unatafuta rafiki anakuwa anakupa maelekezo madodo madogo.

Mimi huwa nashangaa kabisa mwanaume anaweka "L" tena kwenye gari auto.
 
Mkuu unatafuta matatizo gari ni bomu hilo nenda chuo ukafundishwe sio humu mtandaoni unataka ujifunze humu baadae utangaze safari ya usiku kwenda Iringa usibahatishe nenda chuo upate Elimu ya bara barani itakusaidia mpaka uzee wako..
 
Mwalimuuuuuuuuuuuuu!!!!

Na Mimi nahitaji kufahamu kuendesha Peugeot, nifanyaje?
 
Kuna
Sheria za barabarani pia
 
Sikuhizi ili upate kibali cha kuendesha gari, (driving license), lazima ukasome kwenye chuo kinacho tambulika na serikali, hakuna njia ya mkato
Ujinga tu wa watu wenye power
Yaani skill ya kawaida tunaiona kama rocket science.... Tunapenda kuwekeana vikingi saana ili wachache waendelee kuila nchi.
 
kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if possible.

Sasa mimi sijawahi kumiliki gari hivyo sijui hata kuendesha

Acha kutushika masikio...

Yaani hujui kuendesha gari halafu mwenye gari akuachie nankukwambia uwe unaiendesha endesha...

Wewe endelea kuliwasha na kulizima inatosha...
 
Download game la Car simulator ukicheza game siku mbili tu umejua kuendesha gari mi hamna mtu aliewahi kunifundisha gari ila nasukuma hadi scania gia 12, utundu niliutoa kwenye kucheza games za Truck simulator
 
Ujinga tu wa watu wenye power
Yaani skill ya kawaida tunaiona kama rocket science.... Tunapenda kuwekeana vikingi saana ili wachache waendelee kuila nchi.
Sheria za barabarani vipi?
 
Sheria za barabarani vipi?
Tufanye research kutafuta chanzo cha ajali za barabarani....je, ni kweli nyingi zinasababishwa na madereva kutokujua kuendesha magari?

Kuna tofauti kati ya kutofuata sheria za barabarani na suala ninaloongelea hapa. And guess what muda mwingi ajali zinazopostiwa hapa ni za madereva wa STK ambao wamepita shule nzuri za udereva.


Hoja yangu ni kwamba tumefungwa kwenye mentality ya kikoloni ya kuamini kuweka vigezo vingi kwenye skills za kawaida ambazo ni basic kwa binadamu anayeishi mwaka 2025 ni muhimu.

Wakoloni walifanya kama njia ya kuendelea kututawala.
Mfano:
1. Upatilanaji wa passport
2. Leseni ya udereva
3. Leseni ya biashara
4. Mitihani shuleni

Kama hakuna bureaucracy basi Kuna siri kibao zisizojulikana vizuri na wananchi wengi. Hii yote ni wivu wa wanasiasa na watumishi wa umma.
 
Reactions: Lax

"tumia miguu miwili mmoj kwenye accelerator mwingine kwenye brak"

๐Ÿ‘†Wewe siyo dereva. Gari ya auto huwezi kuendesha kwa kutumia miguu miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ