wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,527 Oct 17, 2025 #1 Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje . Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni ukurasa fulani haikubali je !hua mnafanyaje msaada hapa
Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje . Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni ukurasa fulani haikubali je !hua mnafanyaje msaada hapa
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Oct 17, 2025 #2 Nenda Google andika X mara 3, utapata maelezo mengi kwa njia utakoyo wewe, kwa picha au video, baada ya hapo urudi hapa kutoa shukurani zako.
Nenda Google andika X mara 3, utapata maelezo mengi kwa njia utakoyo wewe, kwa picha au video, baada ya hapo urudi hapa kutoa shukurani zako.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 19, 2025 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw