Twins love
Senior Member
- Jan 27, 2022
- 114
- 160
Nimekuwa nikiwa na uthubutu wa kuanzisha vibiashara vidogo vidogo tangu nimalize chuo na kukosa ajira.
Natamani nifanye kabiashara hata ka mtaji mdogo sana lakini sijui akili yangu ,imefocus katika kazi gani ,mbali na professional yangu, naomba watu wenye uwezo wa kushauri na kumfanya mtu aweze kujua n kazi gani inaweza kumfaa, au orodha ya kazi ambazo ukipush mbali utakuwa mbali ,njooni katika uzi huu tupeane elimu