Hili sawa la hedhi, mpenzi wangu alitakiwa aanze kublid tarehe 17 au 18, sasa kilichotokea hadi leo hajazipata siku zake, nikimuuliza unajisikiaje anadai hajihisi kitu chochote tumboni, je hili huwa linatokea kwa mwanamke kusogeza siku zake? Nikimwambia 2kacheki mimba anasema hajisikii kama anamimba.
Help please.......!
Hili sawa la hedhi, mpenzi wangu alitakiwa aanze kublid tarehe 17 au 18, sasa kilichotokea hadi leo hajazipata siku zake, nikimuuliza unajisikiaje anadai hajihisi kitu chochote tumboni, je hili huwa linatokea kwa mwanamke kusogeza siku zake? Nikimwambia 2kacheki mimba anasema hajisikii kama anamimba.
Help please.......!
Sorry for the late reply...umetoa siku amabazo ulitegemea aanze kupata menses (kubleed) ambazo hazisaidii sana. Ungetoa siku alipoanza bleeding kwa mara mwisho ingesaidia zaidi!
Kuna vipimo vingi vya kupima mimba, kutmia damu au kutumia mkojo. Kipimo cha kawaida, kupatikana kirahisi na kinachotumika zaidi ni cha mkojo. Hiki huwa kinapima kiasi cha kichocheo (hormone) kinachoitwa hCG (human chorionic gonadotropin) kwenye mkojo, hormone hii hutolewa baada ya yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi.
Test za mkojo (UPT) zinazopatika hapa kwetu Tanzania upima hormone hii, na ili kuweza kupatikana kiasi cha kutosha kwenye mkojo ili test iwe positive kwa uhakika inabidi zipite kama wiki 3 tangu tendo lifanyike, au wiki 2 tangu mwanamke akose siku zake. Unaweza ukapima sasa ikasema ni negative ukafurahia halafu baada ya miezi kadhaa dada wa watu anavimba!
Subiri uone kama siku zimechelewa tu (huwa inatokea), zikifika wiki 2 na kuendelea then fanya kipimo cha mkojo cha mimba (UPT), kana ni negative na hatapata siku zake rudia baada ya wiki moja.
Yeye anakwenda siku 28, kwa mwezi uliopita ilikuwa tarehe 18/2/2011.
mkuu hapo kwenye blue sijakusoma, yaani tokea nimelala nae au sijakusoma.
Inaweza kutokea ila pimeni mimba!Wala huitaji kwenda popote kupima..pita pharmacy nunua pregnant test alafu mpelekee nyumbani mpime wenyewe!Ni kiasi cha kukojolea..maelezo zaidi yatakuwepo!Oh alafu inawezekana hataki kujua akiwa na wewe ili kama ipo akatoe bila wewe kujua so THINK!
Nimewapatia wanajamvi, unajua ananiambia yeye anauwezo wa kujitambua kama anaujauzito, mchana nikamwambia twende pharmacy nikanunue cha kupima mimba ananiambia nisiwe na hofu. Nashindwa kumuelewa halafu siko tayari kumrusu akaitoe.