Ngumu hiyo hasa wimbo ukiwa kwenye extension kama mp3,wav nk ni suala liko kiulinzi zaidi kuepusha wizi wa kazi za watu
Labda kwa extension kama flp unaeeza kufungua file kwa fl studio ukakuta pattern ziko kivyake
mffolow huyu jamaaninsta video hii ameweka website ambayo inafilter nyimbo na melody...natumia sana kujifunzia kuzitengeneza upya nyimbo kwa beats yangu mwenyewe