Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
Natumai mu wazima.
Nina site yangu ambayo nilishajenga msingi tangu mwaka juzi,
Sasa gharama za pango na mikiki ya Januari imenifanya nipakumbuke leo.
Msingi uliopo ni wa vyumba 3 (kimoja ni master),
Sebule, dinning, jiko na choo.
Kazi mbili za kujenga boma na kupaua, kaniambia labour charge ni Milioni Mbili.
Wakuu, hii gharama inastahili tu nifanye naye kazi au amenipiga niachane naye?
(Picha hapa chini ni kazi niliyoiona ameifanya huyo fundi sehemu ingine)
View attachment 2091267