Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kufanya kaz Kwa kulipa kila siku fundi 25 na msaidiz 10 wanunulie chakula pia. Still bado utapigwa tu! Fat kanun hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndo pointUsije ukadanganyika Mzee, labda awe fundi wa mchongo, kama amekuambia hivyo nenda nae huyo. Labda uombe punguzo sio mbaya. Bei ya kupaua pekee nyumba full kama hiyo huwa sio chini ya Million, kwa mafundi wazuri inaanzia 900k-1.4m inategemea na design hapo mkomalie apige na blundering na fascia boards. Hiyo bei ni reasonable kabisa labda omba punguzo muangalie mnalindanaje.
LIPA HELA ACHA KULALAMANatumai mu wazima.
Nina site yangu ambayo nilishajenga msingi tangu mwaka juzi,
Sasa gharama za pango na mikiki ya Januari imenifanya nipakumbuke leo.
Msingi uliopo ni wa vyumba 3 (kimoja ni master),
Sebule, dinning, jiko na choo.
Kazi mbili za kujenga boma na kupaua, kaniambia labour charge ni Milioni Mbili.
Wakuu, hii gharama inastahili tu nifanye naye kazi au amenipiga niachane naye?
(Picha hapa chini ni kazi niliyoiona ameifanya huyo fundi sehemu ingine)
View attachment 2091267