Location wapi ?Natumai mu wazima.
Nina site yangu ambayo nilishajenga msingi tangu mwaka juzi,
Sasa gharama za pango na mikiki ya Januari imenifanya nipakumbuke leo.
Msingi uliopo ni wa vyumba 3 (kimoja ni master),
Sebule, dinning, jiko na choo.
Kazi mbili za kujenga boma na kupaua, kaniambia labour charge ni Milioni Mbili.
Wakuu, hii gharama inastahili tu nifanye naye kazi au amenipiga niachane naye?
View attachment 2091267
Kama ni huko yupo sahihi ila mshushe kidogo Boma iwe 1.1m bati laki 7Chanika, Dar.
NdioKwa maana iwe jumla 1.8 sio mkuu?
Hii style ya kujenga nyumba na kuwekachumba kimoja master wabongo wameizoea sana kama kuagiza chai na chapati mbili.
Usije ukadanganyika Mzee, labda awe fundi wa mchongo, kama amekuambia hivyo nenda nae huyo. Labda uombe punguzo sio mbaya. Bei ya kupaua pekee nyumba full kama hiyo huwa sio chini ya Million, kwa mafundi wazuri inaanzia 900k-1.4m inategemea na design hapo mkomalie apige na blundering na fascia boards. Hiyo bei ni reasonable kabisa labda omba punguzo muangalie mnalindanaje.Natumai mu wazima.
Nina site yangu ambayo nilishajenga msingi tangu mwaka juzi,
Sasa gharama za pango na mikiki ya Januari imenifanya nipakumbuke leo.
Msingi uliopo ni wa vyumba 3 (kimoja ni master),
Sebule, dinning, jiko na choo.
Kazi mbili za kujenga boma na kupaua, kaniambia labour charge ni Milioni Mbili.
Wakuu, hii gharama inastahili tu nifanye naye kazi au amenipiga niachane naye?
(Picha hapa chini ni kazi niliyoiona ameifanya huyo fundi sehemu ingine)
View attachment 2091267
SUpu na chapati mbili ndio breakfast pendwaHii style ya kujenga nyumba na kuwekachumba kimoja master wabongo wameizoea sana kama kuagiza chai na chapati mbili.
Umetumia million ngapiSio kweli mimi nimejenga nyumba ya vyumba vitatu vyote ni master
Bila kuweka material cost itakuwa ngumu sana kusema kama umepigwa au la..!!Natumai mu wazima.
Nina site yangu ambayo nilishajenga msingi tangu mwaka juzi,
Sasa gharama za pango na mikiki ya Januari imenifanya nipakumbuke leo.
Msingi uliopo ni wa vyumba 3 (kimoja ni master),
Sebule, dinning, jiko na choo.
Kazi mbili za kujenga boma na kupaua, kaniambia labour charge ni Milioni Mbili.
Wakuu, hii gharama inastahili tu nifanye naye kazi au amenipiga niachane naye?
(Picha hapa chini ni kazi niliyoiona ameifanya huyo fundi sehemu ingine)
View attachment 2091267
Umetumia million ngapi
Unaweza share ramani yake plzMsingi hadi kufunga lenta na kuchimba mashimo 20m,nyumba ina ukubwa wa sqm 200
Hata mtu akiagiza chai huwa ni chapati mbiliSUpu na chapati mbili ndio breakfast pendwa
Uko mkoa gani hizi gharama zinaendana na maeneo au mkoaNatumai mu wazima.