Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
 
Sasa ukikutana na vioo bei yake sawa na hiyo infinix yako itakuwaje?

Tafuta pesa nenda karikoo kafix simu yako usisumbuwe watu.
 
Back
Top Bottom