Action and Reaction JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 1,438 Reaction score 1,496 May 10, 2024 #1 Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 May 10, 2024 #2 Action and Reaction said: Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi Click to expand... Sasa ukikutana na vioo bei yake sawa na hiyo infinix yako itakuwaje? Tafuta pesa nenda karikoo kafix simu yako usisumbuwe watu.
Action and Reaction said: Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi Click to expand... Sasa ukikutana na vioo bei yake sawa na hiyo infinix yako itakuwaje? Tafuta pesa nenda karikoo kafix simu yako usisumbuwe watu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 13, 2024 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw