Naomba mnijuze kuhusu Bsc Telecommunication UDOM inakuaje

jamesmike

Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
25
Reaction score
4
Naomba mnijuze kwa hilo wana JF kwa sababu nimechaguliwa uko alafu sijui lolote kuhusu hicho chuo..
 
bachela of sayansi! kaka nimecheka jihadhari na disco
 
"bachela of sayansi" we hatari.

iko poa we kapige tu ,ila angalia tu usi disco.
 
kiujumla UDOM College of informatics and Virtual Education usipokaa vizuri unaweza usimalize but asikutishe mtu kama ulikaza ukapata point za kukupeleka hapo utakaza na utatoka, utakutana na Prof Anatory... Prof Mvuma utacheza saana na signals.. convolutions.... u just get prepared kama ulichagua hiyo coz unaipenda utaenjoy sana ndugu.......


kitu kingine Wanaodisco siyo waliochaguliwa na point ndogo f6 but any one ukilega kidogo inakula kwako Historia Haimati sana chuo kwa ninavyoona unless we ni geneous
 

kwani tellecomunication lazima uwe umesoma pcm mimi nimesoma pcb ila wamenichagua telecom st joseph
 
kwani tellecomunication lazima uwe umesoma pcm mimi nimesoma pcb ila wamenichagua telecom st joseph

St joseph kinaitwa patasote...pale huwezi kuachwa hata kama umesoma cbg..kuna mchizi wangu alisoma PCB na ana S zote hana hata E moja but anasoma bachelor hapo..hivy c vichekesho..maana najua kwa pass hizo hata diploma husomi..!!
 

Nashukuru sana kaka,na vp kuhusu ajira kwenye hii kozi..?
 
Nashukuru sana kaka,na vp kuhusu ajira kwenye hii kozi..?

unachohitaj ni kuhakikisha unajifunza vya kutosha, always kinachotolewa darasani hakitoshi na hicho mostly kinatumika kujibu mitihan kwahyo ni kuhakikisha unatoka ukiwa umejua kufanya vitu real au kama ni simulation software jitahd kujua kuztumia vizur na kufaulu vizuri pia.. ajira zipo ukiwa competent
 
kwani tellecomunication lazima uwe umesoma pcm mimi nimesoma pcb ila wamenichagua telecom st joseph

ninachoelewa mimi ili kuwa engineer hasa hizi za teknologia eg Computer, Telecom, software, na nying nyinginezo ni lazima uwe umesoma PHYSICS na MATHEMATICS vizur. but kama st. Joseph wamekuchukua sijui wanafanyaje... pengine ni kosa la TCU au wana program ambayo watafanya ili kuwabrush na kuwaweka sawa lyk PRE ENTRY PROGRAM
 

hata ukiwa na S tatu unasoma bachelor pale..wale ni hela kwenda mbele..
 
hata ukiwa na S tatu unasoma bachelor pale..wale ni hela kwenda mbele..

kiukweli s tatu cdhan kama ni marks za kwenda chuo kikuu kwa koz yoyote sasa inapokuja suala la sayansi inaniongezea mashaka na wakati mwingine lazima mtu mwenyewe ujiangalie kama utaweza au la coz kuna kudisco kwa bahati mbaya na kuna kujipeleka shimoni wakati ungeweza kuamua kufanya kitu kingine cha manufaa zaid...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…