TCU ndio wanapeleka wanafunzi vyuoni,kuhusu hilo suala la s tatu...TCU walishawahi kutoa utaratibu kuwa mtu huyo anakubalika endapo akisoma pre entry kwa mwaka mmoja..mfano kuna ndugu yangu amesoma hiyo pre entry st joseph halafu akaapply DIT aamepokelewa,
Ushauri wangu na mtazamo wangu,mtaani kuna watu wenye uwezo mzuri sana wa kuweza kuibadilisha nchi hii ila kinachowaumiza ni vyeti,yaani darasani hawakupata nafasi ya kuendelea na masomo hususani elimu ya juu,na naamini Tanzania ni mojaa ya nchi inayotoa wasomi wengi wenye sifa ya undondocha(yaani vyeti vizuri lakini kazi hawawezi),,sasa kwa chuo kama cha st Joseph(chuo pekee cha private kwa bachelor of engineering) kumbuka saut wanatoa bachelor of science,Lazima watanzania tuungane kuepuka majungu na inasikitisha zaidi humu mtandandaoni hata ambao tunazani ni wasomi wamekuwa wakiviponda vyuo kama hivi kwa hoja za kijinga kabisa,,,