Naomba mnijuze kuhusu Bsc Telecommunication UDOM inakuaje

Naomba mnijuze kuhusu Bsc Telecommunication UDOM inakuaje

Ushaur wangu: usipende sifa katika kutafuta maisha mdogo angu hyo coz n ya sifa na still chuo bado kichanga saana kwa coz hyo most of us maisha ya nyumaban n yakawaida ya kutemea msaada tokea serikalin(mkopo) haata japo kidogo so tafuta maisha na sifa baadae la sivo utakuja umbuka muda si muda.
 
oya skul ipoje mkuu upande wa kitabu,nataka nije next yia UDOM TELE:becky:
 
karibu kijana,huku vitabu vingi tu ila soft copy ndio mpango mzima, jianda kwa msuli mnene
 
karibu kijana,huku vitabu vingi tu ila soft copy ndio mpango mzima, jiandae kwa msuli mnene
 
TCU ndio wanapeleka wanafunzi vyuoni,kuhusu hilo suala la s tatu...TCU walishawahi kutoa utaratibu kuwa mtu huyo anakubalika endapo akisoma pre entry kwa mwaka mmoja..mfano kuna ndugu yangu amesoma hiyo pre entry st joseph halafu akaapply DIT aamepokelewa,
Ushauri wangu na mtazamo wangu,mtaani kuna watu wenye uwezo mzuri sana wa kuweza kuibadilisha nchi hii ila kinachowaumiza ni vyeti,yaani darasani hawakupata nafasi ya kuendelea na masomo hususani elimu ya juu,na naamini Tanzania ni mojaa ya nchi inayotoa wasomi wengi wenye sifa ya undondocha(yaani vyeti vizuri lakini kazi hawawezi),,sasa kwa chuo kama cha st Joseph(chuo pekee cha private kwa bachelor of engineering) kumbuka saut wanatoa bachelor of science,Lazima watanzania tuungane kuepuka majungu na inasikitisha zaidi humu mtandandaoni hata ambao tunazani ni wasomi wamekuwa wakiviponda vyuo kama hivi kwa hoja za kijinga kabisa,,,
 
Back
Top Bottom