M mtunyeni Member Joined Jan 26, 2013 Posts 26 Reaction score 0 Aug 2, 2013 #1 Jaman wapendwa vp tcu wanaendelea kutoa huduma ya kuomba vyuo kwa awamu nyingne?
O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Aug 2, 2013 #2 wametoa nafas kwa wa2 walioapply then wakakoxa kwny zile walzochagua b4 ila c o kwa wanaotaka kuapply 4 first tme
wametoa nafas kwa wa2 walioapply then wakakoxa kwny zile walzochagua b4 ila c o kwa wanaotaka kuapply 4 first tme
P PHILIPP DONIE Member Joined Jul 2, 2013 Posts 61 Reaction score 15 Aug 2, 2013 #3 oil sumu said: wametoa nafas kwa wa2 walioapply then wakakoxa kwny zile walzochagua b4 ila c o kwa wanaotaka kuapply 4 first tme Click to expand... mimi nilimsaidia mwenzangu aliyeko jkt kuapply juzi na ikakubali yeye alichelewa kuapply zile facculty 5cz alichelewa kusubmit.
oil sumu said: wametoa nafas kwa wa2 walioapply then wakakoxa kwny zile walzochagua b4 ila c o kwa wanaotaka kuapply 4 first tme Click to expand... mimi nilimsaidia mwenzangu aliyeko jkt kuapply juzi na ikakubali yeye alichelewa kuapply zile facculty 5cz alichelewa kusubmit.
M mdunya JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 759 Reaction score 128 Aug 2, 2013 #4 Mwisho tarehe 9
C chelwa Member Joined Jul 31, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Aug 2, 2013 #5 Sorry napenda kujua majina ya waliokosa vyuo. kwan nimeingia website ya tcu sijabahatika kuyaona
T Thema JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 301 Reaction score 64 Aug 2, 2013 #6 chelwa said: Sorry napenda kujua majina ya waliokosa vyuo. kwan nimeingia website ya tcu sijabahatika kuyaona Click to expand... Kuna mtu aliyapost humu education forum kwa heading:link ya majina ya wasiochaguliwa na tcu.I tafute hiyo post utayaona.
chelwa said: Sorry napenda kujua majina ya waliokosa vyuo. kwan nimeingia website ya tcu sijabahatika kuyaona Click to expand... Kuna mtu aliyapost humu education forum kwa heading:link ya majina ya wasiochaguliwa na tcu.I tafute hiyo post utayaona.