Naomba mnijuze kuhusu TCU.

Naomba mnijuze kuhusu TCU.

mtunyeni

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
26
Reaction score
0
Jaman wapendwa vp tcu wanaendelea kutoa huduma ya kuomba vyuo kwa awamu nyingne?
 
wametoa nafas kwa wa2 walioapply then wakakoxa kwny zile walzochagua b4 ila c o kwa wanaotaka kuapply 4 first tme
 
wametoa nafas kwa wa2 walioapply then wakakoxa kwny zile walzochagua b4 ila c o kwa wanaotaka kuapply 4 first tme

mimi nilimsaidia mwenzangu aliyeko jkt kuapply juzi na ikakubali yeye alichelewa kuapply zile facculty 5cz alichelewa kusubmit.
 
Sorry napenda kujua majina ya waliokosa vyuo. kwan nimeingia website ya tcu sijabahatika kuyaona
 
Sorry napenda kujua majina ya waliokosa vyuo. kwan nimeingia website ya tcu sijabahatika kuyaona

Kuna mtu aliyapost humu education forum kwa heading:link ya majina ya wasiochaguliwa na tcu.I tafute hiyo post utayaona.
 
Back
Top Bottom