mimi ni mwalimu,grade 3 je ninawezaje kusoma course nyingine tofauti na ualimu huku nikiendelea na kazi yangu kama kawaida?.au nichuo gani ambacho naweza kusoma course yoyote ile huku nikiendelea kuwa kituoni kwangu?.
natanguliza shukrani.
Unaweza kusoma chuo kikuu huria hapo hapo ulipo Mwalimu,ulizia ofisi zao ziko wapi hapo katika mkoa unaoishi na watembelee watakupa taratibu zote na kozi unazoweza kusoma.Kuhusu gharama ni nafuu mno,waweza pia kutembelea tovuti yao; www.out.ac.tz.