Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
- Jaribu kuomba, kimsingi unatakiwa chuo kwa kufuata faculty zenye slots, Sababu ndio sharti lililotolewa na TCU.
- Jaribu yaweza kuwabahati yako, ukafanikiwa.
Mkuu unatisha! Unatoa majibu utafikri wewe ndo TCU mwenyewe! Hongera mkuu, umetoa msaada mkubwa sana!