Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Sep 10, 2013 #21 Mwl.RCT said: Jaribu kuomba, kimsingi unatakiwa chuo kwa kufuata faculty zenye slots, Sababu ndio sharti lililotolewa na TCU. Jaribu yaweza kuwabahati yako, ukafanikiwa. Click to expand... Mkuu unatisha! Unatoa majibu utafikri wewe ndo TCU mwenyewe! Hongera mkuu, umetoa msaada mkubwa sana!
Mwl.RCT said: Jaribu kuomba, kimsingi unatakiwa chuo kwa kufuata faculty zenye slots, Sababu ndio sharti lililotolewa na TCU. Jaribu yaweza kuwabahati yako, ukafanikiwa. Click to expand... Mkuu unatisha! Unatoa majibu utafikri wewe ndo TCU mwenyewe! Hongera mkuu, umetoa msaada mkubwa sana!
Pompoo JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 362 Reaction score 41 Sep 10, 2013 #22 Mwl.RCT said: Jaribu kuomba, kimsingi unatakiwa chuo kwa kufuata faculty zenye slots, Sababu ndio sharti lililotolewa na TCU. Jaribu yaweza kuwabahati yako, ukafanikiwa. Click to expand... Asante Mkuu Ngoja nijaribu
Mwl.RCT said: Jaribu kuomba, kimsingi unatakiwa chuo kwa kufuata faculty zenye slots, Sababu ndio sharti lililotolewa na TCU. Jaribu yaweza kuwabahati yako, ukafanikiwa. Click to expand... Asante Mkuu Ngoja nijaribu
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Sep 10, 2013 #23 Manjagata said: Mkuu unatisha! Unatoa majibu utafikri wewe ndo TCU mwenyewe! Hongera mkuu, umetoa msaada mkubwa sana! Click to expand... Karibu.
Manjagata said: Mkuu unatisha! Unatoa majibu utafikri wewe ndo TCU mwenyewe! Hongera mkuu, umetoa msaada mkubwa sana! Click to expand... Karibu.
Madam zero JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 221 Reaction score 18 Sep 10, 2013 #24 And vp kama jina langu halipo ktk website ya chuo nilichochagua?ila tcu/nacte nipo?je italeta utata wa chuo kutonitambua ktk registration?msaada pls
And vp kama jina langu halipo ktk website ya chuo nilichochagua?ila tcu/nacte nipo?je italeta utata wa chuo kutonitambua ktk registration?msaada pls