Naomba Mnikaribishe Baby Angel

Thanks kwa hili PakaJimmy and nitafanya kama ilivyo ili kuweza kuifanya JamiiForums iendelee zaidi
 
ok nimekuelewa PakaJimmy kwa ukaribu zaidi,nitafanya km nitakachopaswa kufanya
 
Karibu baby,jisikie uko nyumbani akipata juisi ya embe.
 
karibu 🙂

I feel your soul... you need a brother like me 🙂
 
endelea tu kuchangia nawewe tuone mchango wako na hiyo itakuwa karibu yako...................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…