Naomba Mnikaribishe Baby Angel

Naomba Mnikaribishe Baby Angel

Hello guys,

Jina langu ni Baby Angel,huwa natembelea mara kwa mara ktk jamii forum sema nakosa muda wa kujiunga na leo nimeamua kuingia humu na kuwa mwanachama kutokana na kuona uwezo wa wana jamii wa humu ndani pamoja na mawazo yao kwa ujumla.

Naomba mnikaribishe.

Baby Angel.
karibu sana karibu na huku kwetu ziwani pindi upatapo nafasi!! tutakuandalia sato
 
Back
Top Bottom