Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?
Kwanini?
Sasa machomekundu...unajua jukwaa la MMU kama hujaliona nifuate PM nikuelekezeMi ni mwanamke
Teh
Unataka kunitafutia?Una mwanaume mgeni?
Ndio, wengi nawaona mwelekeo waoushapitia pitia comments za wadau humu???
Unamfahamu yule mvuta bangi?Mwanamke wa ndoto yangu huyu.
Karibu honey
Ndio, wengi nawaona mwelekeo wao
Kwani bhangi hahiruhusu kujamiiana(socialize)Unamfahamu yule mvuta bangi?
Ahsante sanaHumu kuna wazima, mataahira , mawaziri, marais, vijakazi n. k
Changia kwa busara
Kuwa care
Mbona sijakuelewaKwani bhangi hahiruhusu kujamiiana(socialize)
Tutaelewana tu mwanamke wa ndoto zangu.Mbona sijakuelewa
AhsanteKaribu sana
Mh!Tutaelewana tu mwanamke wa ndoto zangu.