Naomba mnikaribishe rasmi kama mwanachama wa JF

Naomba mnikaribishe rasmi kama mwanachama wa JF

Karibu Dinah, mimi naitwa Mshamba.

Futa hiyo picha kwenye avatar kama ni yako,

Humu hautakiwi kuvujisha taarifa zako binafsi, tunajivika uhusika feki, linda faragha yako ipasavyo.
 
Hapana ni typing error
Nilitaka kusema nimekimiss hatari (kitimoto)
 
Back
Top Bottom