Naomba mnikaribishe

Karibu sana jf. Hapa wapo watu wa kila aina. Kila jambo hapa utapata majibu sahihi. Japo kuna wenye mizaha.
 
Nakupa hii gari utumie kwa sababu umejiunga na chama cha ma genius na ma [emoji383] mzee
Njooo palm village jioni ya saa 12 utanikuta nimevaaa cadet na t shirt ya blue
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Tuma 10,000 ya kujiunga halafu kila mwezi utakuwa unapokea laki 1. Ila ukitoa zaidi ya kujiunga na dau lako pia litaongezeka la kupokea mwisho wa mwezi. 😜

Kumbuka umeingia katika himaya ya matajiri, warembo, wasomi. Hapa JF hakuna mtu asiyekuwa na degree, hakuna mpanda daladala wote tunamiliki ndinga za hatari, hakuna fukara humu wote ni ma don, kila demu pisikali.

Kwa kifupi karibu paradiso ya Jamii Forum sehemu pekee yenye wajuaji wa kila jambo.
 
Kama wakike njoo pm
Acha hizo jombaa
Sawa
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…