Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Wakuu, ni siku ya tatu sasa naumwa sana shingo upande mmoja. Hii sijui imetokana na nini? Pengine ni kulala vibaya kwa sababu nimetoka nje ya Dar niko mkoa now so ninalalia kitanda 'kipya'.
Hapa hata nikizidiwa siwaombi mchango wa hata sh mia, maana kwa mashushu anayopata mtoto wa watu Wastara, tena kutoka kwa watu ambao hawajamchangia hata sh mia, sio ya kitoto.
Maumivu yamezidi kutokana na evening walk. Nilikuwa nimeenda kutembea maeneo fulani sasa nikaona nibebe kitoweo cha mbwa ambacho ilikuwa nyama ya 'mnyama pendwa'....
Ile kila dala dala zinapita zinanipigia honi, nakataa kupanda nawajibu siwezi panda kwa vile nimebeba 'dhambi za walimwengu'...
So imebidi nitembee kwa mguu hadi hapa ninapokaa ndio sasa maumivu yamezidi kutokana na hizi movement za evening walk.
Kwa kweli ninayoyasikia hapa, ni mateso bila chuki...