Naomba mniombee! Ninaumwa sana shingo, yani hapa nageuka mzima mzima kama Fuso!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Wakuu, ni siku ya tatu sasa naumwa sana shingo upande mmoja. Hii sijui imetokana na nini? Pengine ni kulala vibaya kwa sababu nimetoka nje ya Dar niko mkoa now so ninalalia kitanda 'kipya'.

Hapa hata nikizidiwa siwaombi mchango wa hata sh mia, maana kwa mashushu anayopata mtoto wa watu Wastara, tena kutoka kwa watu ambao hawajamchangia hata sh mia, sio ya kitoto.

Maumivu yamezidi kutokana na evening walk. Nilikuwa nimeenda kutembea maeneo fulani sasa nikaona nibebe kitoweo cha mbwa ambacho ilikuwa nyama ya 'mnyama pendwa'....

Ile kila dala dala zinapita zinanipigia honi, nakataa kupanda nawajibu siwezi panda kwa vile nimebeba 'dhambi za walimwengu'...

So imebidi nitembee kwa mguu hadi hapa ninapokaa ndio sasa maumivu yamezidi kutokana na hizi movement za evening walk.

Kwa kweli ninayoyasikia hapa, ni mateso bila chuki...
 
Pole sana mkuu mungu atakusaidia
 
Pole sana mkuu. Lakini, kwani uliwataarifu wazee wa hilo eneo kwamba utakuwapo huko au ulijiendea tu ?

Kila "kijiji" kina wazee
 
ungeeleza shingo inauma vipi? je ni misuli? ni mishipa? nk. watu wenye taaluma ya afya wangekupa ushauri. ila matokeo yake umeenda kuongelea mambo mengine out of the point.
 
Sie wakristo huwa tunaamini kuwa tuko juu ya nguvu za giza... So, the ones who have submitted themselves to Christ, need no more to submit to the 'elders'...
 
ungeeleza shingo inauma vipi? je ni misuli? ni mishipa? nk. watu wenye taaluma ya afya wangekupa ushauri. ila matokeo yake umeenda kuongelea mambo mengine out of the point.
Mkuu, nahisi ni mfupa wa upande wa kulia. Ingekuwa ni misuli, kuna dawa huwa napakaga na baada ya masaa yale maumivu hupotea. Sasa kwa kuwa hayajapotea hadi hii siku ya tatu, its safe to assume kuwa ni mfupa...
 
Wakuu, ni siku ya tatu sasa naumwa sana shingo upande mmoja. Hii sijui imetokana na nini? Pengine ni kulala vibaya kwa sababu nimetoka nje ya Dar niko mkoa now so ninalalia kitanda 'kipya'.
Hapa hata nikizidiwa siwaombi mchango wa hata sh mia, maana kwa mashushu anayopata mtoto wa watu Wastara, tena kutoka kwa watu ambao hawajamchangia hata sh mia, sio ya kitoto.
Maumivu yamezidi kutokana na evening walk. Nilikuwa nimeenda kutembea maeneo fulani sasa nikaona nibebe kitoweo cha mbwa ambacho ilikuwa nyama ya 'mnyama pendwa'....
Ile kila dala dala zinapita zinanipigia honi, nakataa kupanda nawajibu siwezi panda kwa vile nimebeba 'dhambi za walimwengu'...
So imebidi nitembee kwa mguu hadi hapa ninapokaa ndio sasa maumivu yamezidi kutokana na hizi movement za evening walk.
Kwa kweli ninayoyasikia hapa, ni mateso bila chuki...
Duuh! Pole sana mkuu.

Sasa nilitaka nikuchumu ubebike sasa mpk ugeuke taabu sana.
 
Uende hospital kwanz wakucheki ...mkuu alafu upunguze kula makongoro ya mbwa.
 
Hahaha komaa tu hivyo hivyo watafute shilawadu waki report hukawii kushukiwa na mvua ya pesa, tena uwaambie shilawadu unataka kwenda india shingo halina griss na hauna bima ya afya, kesho kabla jua halijazama tutakuona una tenga la pesa.
Komaa mkuu pesa hiyo.
 
Ushauri uliopatiwa na wakuu hapo juu unatosha ingawa nimecheka sana.Unageuka kama fuso lisilo na grisi kwenye eksipanshen joints?
 
Back
Top Bottom