House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Nimetoka kutuma maombi ya kazi, private sector.
Katika hospital ya kanisa la KKKT.
Niongezeeni baraka zenu nipate kazi wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akufanyie wepesi mkuu na usiache kumuomba kwenye hitaji lako
Ufanikiwe kama roho yako itakavyo. Mungu awe mbele ya kila mpango katika jambo hilo ...Amen
Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo akutangulie katika kila jambo. Soma Yohana 15:7 siku zoteNimetoka kutuma maombi ya kazi, private sector.
Katika hospital ya kanisa la KKKT.
Niongezeeni baraka zenu nipate kazi wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo akutangulie katika kila jambo. Soma Yohana 15:7 siku zote
[emoji120][emoji120][emoji120]mungu mkumbuke Suriya ndugu na jamaa yetu wa JF, waijua haja ya moyo wake kama ambavyo yeye anaijua, mshushie mibaraka maana pasipo ww, yy si kitu.. msimamie apate ajira ili siku moja akumbuke kukutolea zaka na sadaka na jina lako litainuliwa juu zaidi kupitia mtumishi na mja wako Suriya.. Amina
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina kazi bro usitukimbie banaAsiye fanya kazi na asile.
Mkuu nitakula wap,,,??
Kazi muhimu. Hazikwepeki
Hata wew najua kazi wafanya.
Sent using Jamii Forums mobile app