NAOMBA MNIOMBEE WAPENDWA.

NAOMBA MNIOMBEE WAPENDWA.

Unless kama factor za udini hawaitumii hata tuombe haitasaidia
 
[emoji120][emoji120][emoji120]mungu mkumbuke Suriya ndugu na jamaa yetu wa JF, waijua haja ya moyo wake kama ambavyo yeye anaijua, mshushie mibaraka maana pasipo ww, yy si kitu.. msimamie apate ajira ili siku moja akumbuke kukutolea zaka na sadaka na jina lako litainuliwa juu zaidi kupitia mtumishi na mja wako Suriya.. Amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukuran sana
My first best friend ever, at JF

Back
Top Bottom