Naomba mnipangie matumizi ya pesa kwa mwezi

Fanya hivi:
#1. Unga 25Kg= 30,000
#2. Mchele 5Kg =10,000
#3. Mafuta 5lita =17,000
#4. Sukari 2kg = 4000
#5. Mkaa = 10,000
#6. Maharage 3kg= 6,000

Jumla = 77,000

Mbonga = 81,000 kwa mwezi

Vocha 1000@siku jumla 30,000

Others 50,000

Saving 50,000

Nauli 62,000

Jumla 350,000

Nb;
Jitahidi kununua mahitaji ya mwezi mzima kwa vitu visivyoharibika.
Yaani unataka ale wali weekend tu.
 
Kwanza kabisa tafuta nyumba jirani na ofisi itakusaidia kucut off nauli pia tafuta ya bei rahis ikiwezekana chumba na sebule isizd elfu 50 kwa vyote
Umeme*10000
Maji*5000
Mchele nunua kilo 10 wa elfu miambili
Unga kilo kumi
Maharage kilo5
Kitini cha dagaa5000
Sukari kilo3
Sabuni box moja elfu9 hii utaogea utafulia mtaoshea vyombo
Mafuta ya taa lita moja
Mkaa utakadilia
Sasa basi hakikisha chai
unakunywa nyumbani ,maharage na dagaa ndo viwe vyakula vikuu plus mboga za majani jibane ht miezi mitano tu utapata mtaji kwa bajeti ya hapo juu utatumia si zaidi ya laki na nusu so utaweza kusave laki mbili kamili muhimu kaa chini na wife mwambie hakuna njia rahisi ya mafanikio ajitahd kwa nafasi yake kujibana sana naamini Mungu atasaidia sana pia muwe mnasali Mungu atawafanyia wepesi muheshimiane mpendane yan siku zitasogea tu na wife awe anatafuta fursa anaweza kuanza kupika chapati au maandazi kufunga barafu ht kuuza mkaa nje mtatoka tu Mungu akakutangulie mkuu
 
Nunua kabaskeli hapo zenji vipo vya bei poa utafuta hiyo nauli ya kila siku. Au tafuta chumba jirani na kazini, epuka kutumia mkaa jikaze uingie kwenye gas au mchina, pia usisahau kuwa na ratiba ya chakula kwa wiki nzima itakusaidia kupiga hesabu ya bajeti ya mwezi mzima. Mboga za majani na samaki viwe vyakula vikuu. Kama utahitaji ratio za vipimo vya unga au mchele na vingine vyote naeza kukusaidia formula ninayotumia. Ukiweka tu bed night inacalculate kila kitu unaitumia hiyo kufanya manunuzi.
 
Kutoka ninapoishi mpk ofisini ni mwendo wa km 38 kwahy baskeli naweza kufanya tenzi sume ndani ya wiki moja
 
Nunua kabaskeli hapo zenji vipo vya bei poa utafuta hiyo nauli ya kila siku. Au tafuta chumba jirani na kazini, epuka kutumia mkaa jikaze uingie kwenye gas au mchina, pia usisahau kuwa na ratiba ya chakula kwa wiki nzima itakusaidia kupiga hesabu ya bajeti ya mwezi mzima. Mboga za majani na samaki viwe vyakula vikuu. Kama utahitaji ratio za vipimo vya unga au mchele na vingine vyote naeza kukusaidia formula ninayotumia. Ukiweka tu bed night inacalculate kila kitu unaitumia hiyo kufanya manunuzi.
Nimejaribu kuanza kutumia gass unafuu unaanza kuja
 
Kula rakaa moja tu jioni kwa jioni ugali wa haja au wali wa haja unaweka na kiporo cha chai asbhi,
 
Back
Top Bottom