Aaah wapi...mapenzi sio pesa...Umewahi kuoa Mapema au mrudishe kwanza mke home usave hela ya mtaji
Issue ni bajeti mapenzi yapo palepaleAaah wapi...mapenzi sio pesa...
Yaani unataka ale wali weekend tu.Fanya hivi:
#1. Unga 25Kg= 30,000
#2. Mchele 5Kg =10,000
#3. Mafuta 5lita =17,000
#4. Sukari 2kg = 4000
#5. Mkaa = 10,000
#6. Maharage 3kg= 6,000
Jumla = 77,000
Mbonga = 81,000 kwa mwezi
Vocha 1000@siku jumla 30,000
Others 50,000
Saving 50,000
Nauli 62,000
Jumla 350,000
Nb;
Jitahidi kununua mahitaji ya mwezi mzima kwa vitu visivyoharibika.
Kutoka ninapoishi mpk ofisini ni mwendo wa km 38 kwahy baskeli naweza kufanya tenzi sume ndani ya wiki mojaNunua kabaskeli hapo zenji vipo vya bei poa utafuta hiyo nauli ya kila siku. Au tafuta chumba jirani na kazini, epuka kutumia mkaa jikaze uingie kwenye gas au mchina, pia usisahau kuwa na ratiba ya chakula kwa wiki nzima itakusaidia kupiga hesabu ya bajeti ya mwezi mzima. Mboga za majani na samaki viwe vyakula vikuu. Kama utahitaji ratio za vipimo vya unga au mchele na vingine vyote naeza kukusaidia formula ninayotumia. Ukiweka tu bed night inacalculate kila kitu unaitumia hiyo kufanya manunuzi.
Nimejaribu kuanza kutumia gass unafuu unaanza kujaNunua kabaskeli hapo zenji vipo vya bei poa utafuta hiyo nauli ya kila siku. Au tafuta chumba jirani na kazini, epuka kutumia mkaa jikaze uingie kwenye gas au mchina, pia usisahau kuwa na ratiba ya chakula kwa wiki nzima itakusaidia kupiga hesabu ya bajeti ya mwezi mzima. Mboga za majani na samaki viwe vyakula vikuu. Kama utahitaji ratio za vipimo vya unga au mchele na vingine vyote naeza kukusaidia formula ninayotumia. Ukiweka tu bed night inacalculate kila kitu unaitumia hiyo kufanya manunuzi.