Naomba Mnipe Jibu Mnaoshupalia Swala La Kigezo Cha Penati Nyingi/Chache!

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Sasa ndo wote tunalingana magoli, ikatokea wote tulipata penati sawa kwa sawa za kupiga (mfano penati 5 kila mmoja), mimi nika zifunga zangu zote, ndo zika add up kwenye yale magoli tunayolingana, na mwenzangu kafunga 2 tu na ikaziongezea kwenye yale magoli yake tunayolingana, je, yule mwenzangu atapata sifa kwa sababu alifunga penati chache, mi niliyefunga nyingi ndo nikakosa zawadi? Hebu tuweke ushabiki pembeni kwanza.
 
Soma
 
Kigezo cha penati ni kibovu sana. Hii siyo basketball kwamba magoli yatofautiane thamani.
 
Babu,
Yanaongelewa Magoli ya penati kwenye kanuni. Siyo Penati ulizokosa!.

Yanayoangaliwa ni Magoli tu.

Na siyo politics.
Tff walishafafanua hilo wakati wa battle ya Mpole na Mayele.
 
UTARATIBU WA FIFA UPO KAMA IFUATAVYO.

1.Wanaangali mchezaji aliyefunga MAGOLi mengi zaidi kwenye mashindano.

2.kama wachezaji wamefungana wame( tie) MAGOLi aliyecheza MICHEZO MICHACHE ndio anapewa ufungaji Bora.

3.kama wote WAMECHEZA michezo sawa wanaangalia Mchezaji MWENYE Asisist nyingi.

KAMA TUNGEKUWA TUNAFUATA SHERIA ZA FIFA SAIDO ANGEKUWA MFUNGAJI BORA NBC 2022-2023.

Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…