G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Sasa ndo wote tunalingana magoli, ikatokea wote tulipata penati sawa kwa sawa za kupiga (mfano penati 5 kila mmoja), mimi nika zifunga zangu zote, ndo zika add up kwenye yale magoli tunayolingana, na mwenzangu kafunga 2 tu na ikaziongezea kwenye yale magoli yake tunayolingana, je, yule mwenzangu atapata sifa kwa sababu alifunga penati chache, mi niliyefunga nyingi ndo nikakosa zawadi? Hebu tuweke ushabiki pembeni kwanza.