MamaMtoi Member Joined May 26, 2015 Posts 25 Reaction score 7 Jun 17, 2015 #1 Wapendwa nataka kufanya biashara ya mafuta ya alizeti,naomben kujua upatikanaji wake nina mtaji wa mil 2 je unaweza tosha??nipo arusha
Wapendwa nataka kufanya biashara ya mafuta ya alizeti,naomben kujua upatikanaji wake nina mtaji wa mil 2 je unaweza tosha??nipo arusha