habar zanu wana jf..nimewamis cna kwa kweli
Sa me apa naenda arusha kesho ntakuwa huko kwa miezi minne kikaz sa me apa nahiyaji wanajf wawe waliopo arusha wanipe kampani km huwa mnaonana iyakuwa vzr na me nijimuike nao
Thanksw
hata wewe ni ruksa kumpokea.
Mbona kama mnatupiana mpira, basi siku nikija sitapiga hodi maana mpaka hapo kuna walakini kidogo.
Me nahitaji tu unisaidie mambo madg dg lyk campany kwenda kwa papakingKaribu sana Arusha. Tell me if you need anything. I will always be there for you