Dr. Welelo Member Joined Oct 14, 2012 Posts 13 Reaction score 8 Oct 15, 2012 #1 Nipo siku nyingi humu nikiwasoma kama mgeni, leo nimeona nijiunge na mimi nipate kuchangia mawili matatu kulingana na uzoefu wangu kwani sasa nina muda wa kutosha baada ya kumaliza majukumu yaliyokuwa yamenitinga. Naomba mnipokee tafadhalini.
Nipo siku nyingi humu nikiwasoma kama mgeni, leo nimeona nijiunge na mimi nipate kuchangia mawili matatu kulingana na uzoefu wangu kwani sasa nina muda wa kutosha baada ya kumaliza majukumu yaliyokuwa yamenitinga. Naomba mnipokee tafadhalini.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Oct 15, 2012 #2 Mbona umechelewa Mkuu. Karibu sana.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 15, 2012 #3 Karibu sana JF mkuu.