ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,021
- 1,978
habar kwenu wapendwa mi ni mgeni jamiiforum naomba mnipokee ila sitaki mtu aulize jinsia yang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habar kwenu wapendwa mi ni mgeni jamiiforum naomba mnipokee ila sitaki mtu aulize jinsia yang
Ushapokelewa,hebu Jamba kidogo!
ustadh unataka kuulizwa jinsia tena?..
mkuu si unajua kuwa humu ndani utakuta mtu ana ID ya kike kumbe dume and vice versa
mkuu si unajua kuwa humu ndani utakuta mtu ana ID ya kike kumbe dume and vice versa
kutokana theory za kifalsa wew ni mwenyej umejuaje yote hayo kuhusu id na ujinsia wa watu kwamba uko vice versa au la? hebu tutajie mtu mmoja ambaye unamuhisi amafanya hivyo.
Karibu mgeni..lakini tunawasiwasi na uhalisia wa ugeni wako
halafu tangu mondi apate tuzo, jamiiforum idadi ya ID mpya na wageni imeongezeka kwa kasi sana
Ustadhijuma mm nitakuwa your friend, utazoea tu, kuniomba hela natoa mwisho 10,000/=
mbona unajishtukia
sijistukii mkuu
Ustadh we ni mgeni una masaa machache ushafikisha post 40, hata mimi nina mashaka ..... ni mwenyeji uliyeamua kuja kivingine ....