Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Ustadh we ni mgeni una masaa machache ushafikisha post 40, hata mimi nina mashaka ..... ni mwenyeji uliyeamua kuja kivingine ....
mkuu si unajua kuwa humu ndani utakuta mtu ana ID ya kike kumbe dume and vice versa
hahahhahaakwa mda mfupi niliojoin jamiiforum nimegundua we pono ni maskini wa akili tajiri wa ujinga
umeonaeee my dear, ila namwangalia tu mimi. jana kanitishia kweli jaman ila wewe ukanyamaza.............Ivi kumbe Kuna watu hawayapendi meno yao namna hii?
Haya ngoja aendelee
mimi sikumuona bae, ungeniita ningekuja As Soon as Possible bae... So sorry kwa hiloumeonaeee my dear, ila namwangalia tu mimi. jana kanitishia kweli jaman ila wewe ukanyamaza.
loooh
ila hakunidhuru bae wangu ndicho nachomshukuru Mungu.mimi sikumuona bae, ungeniita ningekuja As Soon as Possible bae... So sorry kwa hilo
maisha ni kinyume nyume siku hizi usishangae mkuumgeni afu expert memba?????? am not key laza
Huhuhuhuuuuunjoo kwangu nikupe furaha mtoto mzuri huyo STUNTER kashazeeka!! mi nakupenda kiasi kwamba nikila miogo nakuona kwenye kachumbari
nshaanza kuona dalili za kunikubaliaHuhuhuhuuuuu
vzr ustadhijuma.nshaanza kuona dalili za kunikubalia
yule alikuwa mshirikina mkuu