MzeeMpya
JF-Expert Member
- Dec 19, 2019
- 519
- 662
Bwana Milanzi karibu Jf Bahari isionamipaka na kisima cha maarifa. Huku Jf kila kitu itapata. Mabaya na mazuri. Wajinga na wenye Ankili. Matusi na Wenye Kejeli. Pamoja na yote huku Jf pamejaa majina bandia na picha za uongo..... Je ya kwako ni halisia au ni wale wale? Karibu.Tabata segerea sio kigogoView attachment 1665319