Wanazama tu FB au popote pale kusaka picha yako angalau moja, wakipata wanakata kichwa tu wanaunganisha na kiwiliwili cha mkono wa bamsa akilomboa mbususu, Gwaji boy muulizeni anaijua vema hii, kisha wanazituma kwa wana familia utanyoroka tu dadeki aiseeee!Kuna wale jamaa "OYA" wakikudai ukizingua wao wanapiga hadi ukufe yaani
Wadhamini huwa wanaambiwa wawe na copy ya kitambulisho cha nida, sasa kama kuna sehemu uliacha hiyo ujue kaitumia.Mkichukua hiyo mikopo muwe mnaandika namba za wadhamini ambao wamewaruhusu kuandika namba zao. Wiki sasa natumiwa sms ya pesa hello nimwambie marrystella alipe deni, halafu huyo marrystela mwenyewe simjui