amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Habari zenu.
Jamani mwenzenu nasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara,kutapika japo si sana kwa siku naweza kutapika mara 2.
Siku 2 zilizopita mwili ulikuwa unauma vibaya sana kiasi kwamba nikienda kuoga naona maji yananiumiza na kichwa kilikuwa kinaniuma na ikifika jioni nasikia baridi japo tokea juzi hizo hali hazipo tena.
Ila tokea juzi kinachoendelea kunisumbua ni tumbo,kutapika na mdomo hauna test chakula chochote nachoweka mdomoni kichungu mpaka maji ya kunywa ni machungu.
Nimeenda hospitalkupima malaria.mimba na labda damu inaweza kuzidi au kupungua.
Majibu ya malaria sina,majibu ya mimba sina na damu ipo sawa.
Sasa sijui tatizo ni nini??naomba mnisaidie