Naomba mnisaidie madoktari wa humu!!

Naomba mnisaidie madoktari wa humu!!

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
Habari zenu.
Jamani mwenzenu nasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara,kutapika japo si sana kwa siku naweza kutapika mara 2.
Siku 2 zilizopita mwili ulikuwa unauma vibaya sana kiasi kwamba nikienda kuoga naona maji yananiumiza na kichwa kilikuwa kinaniuma na ikifika jioni nasikia baridi japo tokea juzi hizo hali hazipo tena.
Ila tokea juzi kinachoendelea kunisumbua ni tumbo,kutapika na mdomo hauna test chakula chochote nachoweka mdomoni kichungu mpaka maji ya kunywa ni machungu.
Nimeenda hospitalkupima malaria.mimba na labda damu inaweza kuzidi au kupungua.
Majibu ya malaria sina,majibu ya mimba sina na damu ipo sawa.
Sasa sijui tatizo ni nini??naomba mnisaidie
 
Subiria majibu kwanza ukiyapata ma dr wa hapa watakusaidia!!!
POLE SANA amu
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu.
Jamani mwenzenu nasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara,kutapika japo si sana kwa siku naweza kutapika mara 2.
Siku 2 zilizopita mwili ulikuwa unauma vibaya sana kiasi kwamba nikienda kuoga naona maji yananiumiza na kichwa kilikuwa kinaniuma na ikifika jioni nasikia baridi japo tokea juzi hizo hali hazipo tena.
Ila tokea juzi kinachoendelea kunisumbua ni tumbo,kutapika na mdomo hauna test chakula chochote nachoweka mdomoni kichungu mpaka maji ya kunywa ni machungu.
Nimeenda hospitalkupima malaria.mimba na labda damu inaweza kuzidi au kupungua.
Majibu ya malaria sina,majibu ya mimba sina na damu ipo sawa.
Sasa sijui tatizo ni nini??naomba mnisaidie
Bibie amu Pole sana kwa kuumwa na tumbo na kutapika Jaribu

tumbo linapokuwa linauma Kunywa kijiko kimoja cha Asali safi ya nyuki, kisha uangalie bado linauma tumbo? likiwa bado tumbo

linauma ongeza tena kunywa tena kijiko kimoja cha Asali Tumbo lako litanyamaza. Na unapo amka kila siku Asubuhi kabla ya

kupiga Mswaki na kunywa chai chemsha maji ya kunywa Maji ya Uvuguvugu Glasi 2 unywe kisha, kisha kapige mswaki ukimaliza kupiga

mswaki chemsha tena maji ya kunywa ya uvuguvugu unywe glasi moja kisha ukae kama dakika 45 kisha waweza kunywa chai na

mchana chemsha tena maji ya Uvuguvugu kunywa glasi moja kisha ukae dakika 45 ndio waweza kula chakula cha

mchana na usiku kabla ya kula chakula cha usiku chemsha tena maji ya Uvuguvugu unywe Glasi moja kisha ukae kama dakika 45

kisha ndio unaweza kula chakula cha usiku,tena na unywe maji ya uvuguvugu wakati unapokwenda kulala fanya hivyo kwa

muda wa siku 32 kisha njoo hapa lete majibu ya maendeleo yako Je umepona au bado? pole sana bibie.

Wewe una majini nitafute
Mkuu Msai umejuaje kama huyu bibie amu ana Majini? anaweza kuwa amepatwa na Upepop wa shetani sio kuwa na Majini mkuu.
 
Last edited by a moderator:
pima kipimo cha vidonda vya tumbo waweza kuwa na vimelea vya helicobacter pyroli tumboni dalili unazotaja ni miongoni.
 
Back
Top Bottom