nimahussein
Senior Member
- Sep 17, 2013
- 181
- 27
Mkuu kama anatakuwa daktari mwambie apige diploma ya medicine yani clinical medicine miaka 3 akifaulu fresh anenda piga medicine digrii.hii ni kama form four alikuwa na phy d,chem c,na bios c.nina mdogo wangu wa kike amemaliza form 6 PCB mwaka huu kakini amefeli(hakupata kitu),lakini form four ana pass zote ie div 2..mzee ameamua ajitutumue anataka kumpeleka malaysia,lakini ndoto zake ilikua ni udaktari ila mambo ndio yameharibika na kuanzia kwa cheti cha form four atasoma muda mrefu sana,sasa tulikua tumesuggest course tatu
1.environmental health
2.statistics
3.business au business information technology
hilo jukumu nimepewa mm ili nitafute ufumbuzi so nawakilisha kwenu nyinyi wenzangu na hata kama mnafkiria course nyengine zaidi ya hizi
Nitawashukuru sana kwa msaada wenu
Mkuu kama anatakuwa daktari mwambie apige diploma ya medicine yani clinical medicine miaka 3 akifaulu fresh anenda piga medicine digrii.hii ni kama form four alikuwa na phy d,chem c,na bios c.

tatizo kaka muda wa kuomba vyuo hapa tz umeshaisha,coz mzee alifkiria ampeleke uturuki akasome medicine ila ameona muda utakua mrefu na huyu ni mtoto wa kike,ndio maana tumeona bora abadilishe tuJamaa keshamaliza kila kitu, jukua ushauri huo kawambie alafu uje utujuze
Ngoja waje
mhh..unanitisha sasa,Huko malaysia hakuna k2 zaidi ataenda kujifunza kufanya umalaya tu..mwambieni awe mvumilivu ili mwakani aaply vyuo vya hapa hapa tanzania kwa level ya diploma.over