nimahussein
Senior Member
- Sep 17, 2013
- 181
- 27
nina mdogo wangu wa kike amemaliza form 6 PCB mwaka huu kakini amefeli(hakupata kitu),lakini form four ana pass zote ie div 2..mzee ameamua ajitutumue anataka kumpeleka malaysia,lakini ndoto zake ilikua ni udaktari ila mambo ndio yameharibika na kuanzia kwa cheti cha form four atasoma muda mrefu sana,sasa tulikua tumesuggest course tatu
1.environmental health
2.statistics
3.business au business information technology
hilo jukumu nimepewa mm ili nitafute ufumbuzi so nawakilisha kwenu nyinyi wenzangu na hata kama mnafkiria course nyengine zaidi ya hizi
Nitawashukuru sana kwa msaada wenu