Naomba mnisaidie mitaala ya shule za secondary

joseph1983

Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
13
Reaction score
1
Wane jamii forum naomba mnisaidie kuna mitaala gani ambayo imeshabadilishwa ya somo la hisabati zaidi ya ile ya mwaka 1995 na 2005,maana watu wengi wamekuwa wanapotosha jamii kwa kueleza jamii kwamba mitaala imekuwa inabadilishwa mara kwa mara pia kuna watu ambao wamefanya tafiti hizo na kuwadanganya watu kwamba mitaala imekuwa ikibadilishwa mara kwa mara.mimi ninachofahamu ni kwamba mikutasari ndiyo imekuwa ikibadilishwa mara kwa mara na siyo mitaala.**** nakosea naomba mnieleweshe.
 
Mitaala inayotumika kwa Shule za Sekondary (O & A Level) ni ya 2010. Inapatikana kwenye maduka ya vitabu, maduka ya Serikali ni 5000/-
 
Mitaala haiuzwi duka la vitabu jamani kinachouzwa ni MUHTASARI.
 
Wane jamii forum naomba mnisaidie kuna mitaala gani ambayo imeshabadilishwa ya somo la hisabati zaidi ya ile ya mwaka 1995 na 2005,maana watu wengi wamekuwa wanapotosha jamii kwa kueleza jamii kwamba mitaala imekuwa inabadilishwa mara kwa mara pia kuna watu ambao wamefanya tafiti hizo na kuwadanganya watu kwamba mitaala imekuwa ikibadilishwa mara kwa mara.mimi ninachofahamu ni kwamba mikutasari ndiyo imekuwa ikibadilishwa mara kwa mara na siyo mitaala.**** nakosea naomba mnieleweshe.
Hujakosea,kinachobadilikabadilika ni Muhtasari(SYLLABUS)na sio mtaala{CARRICULUM}
 
Back
Top Bottom