Naomba mnisaidie ndugu zagu.

mtunyeni

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
26
Reaction score
0
Ninatatizo kila nikienda toilet kutoa haja kubwa ninapojikamua haja ndogo hutoka na shahawa,je ni tatizo gani hili,na nifanye nini?.
 
1.Una umri gani?
2.Umeoa?
3.Unafanya mapenzi mara ngapi kwa wiki/mwez/mwaka?
Ukitoa majibu ya maswali haya kwa ufasaha itatusaidia kukushauri.Pole sn Mkuu!
 
Ninatatizo kila nikienda toilet kutoa haja kubwa ninapojikamua haja ndogo hutoka na shahawa,je ni tatizo gani hili,na nifanye nini?.
Sio tatizo inaonyesha siku nyingi hujafanya tendo la mapenzi hiyo sio shahawa hiyo ni Madhii kuna manii na madhii hiyo inayotoka wakati wa kupata haja kubwa ya kwa kujikamua sio shahawa ni madhii shahawa ni ile inayotoka kwa kupiga punyeto au kwakufanya tendo la ngono Ondosha wasiwasi.

MziziMkavu uye uku ubaeleze nini ya kufanya.
Vipi bandugu hujambo lakini?
 
Niko bomba Mkuu namshukuru Muumba wetu.....It's my hope that you're doing well too....Good day 🙂🙂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…