Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tatizo inaonyesha siku nyingi hujafanya tendo la mapenzi hiyo sio shahawa hiyo ni Madhii kuna manii na madhii hiyo inayotoka wakati wa kupata haja kubwa ya kwa kujikamua sio shahawa ni madhii shahawa ni ile inayotoka kwa kupiga punyeto au kwakufanya tendo la ngono Ondosha wasiwasi.Ninatatizo kila nikienda toilet kutoa haja kubwa ninapojikamua haja ndogo hutoka na shahawa,je ni tatizo gani hili,na nifanye nini?.
Vipi bandugu hujambo lakini?MziziMkavu uye uku ubaeleze nini ya kufanya.
Sio tatizo inaonyesha siku nyingi hujafanya tendo la mapenzi hiyo sio shahawa hiyo ni Madhii kuna manii na madhii hiyo inayotoka wakati wa kupata haja kubwa ya kwa kujikamua sio shahawa ni madhii shahawa ni ile inayotoka kwa kupiga punyeto au kwakufanya tendo la ngono Ondosha wasiwasi.
Vipi bandugu hujambo lakini?