Ngoja wataalam wa DERMATOLOGY wajee..Madaktari wa humu poleni na majukum ya kila siku naomba mnisaidie tiba ya ugonjwa huu.
View attachment 2953848
Kiongozi nisaide tafadhali siunajua hauwez kuweka sura yako hum istoshe hata majina tuu hum hatuwek ya uhalisiaMbona tayari ume google hapo...
Au ujapata msaada vizuru..
Endelea fatilia hapo.hapo google utapata dalili na jina la ugonjwa..
Kwa kupindi hiki madokita tupo bize kidogo mkuuππππ
Paka utomvu wa mwalovela mkuuKiongozi nisaide tafadhali siunajua hauwez kuweka sura yako hum istoshe hata majina tuu hum hatuwek ya uhalisia